Quantcast
Channel: HABARI NA MATUKIO
Browsing all 11654 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHEIKH SHARIFU MSOPA ATOA OFA YA MAOMBI KWA VIONGOZI NA WANANCHI

  Sheikh Sharifu Msopa (kulia), akizungumza na wanahabari Dar es Salaam leo Hoteli ya Shamoloon iliyopo Sinza kuhusu maombi hayo maalumu. Kshoto ni Sheikh Maulana Salim. Wanahabari kutoka vyombo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA MKOA WA LINDI WAJITOKEZA KWA WINGI USIKU WA SHAMRA SHAMRA ZA...

 Shamra shamra za kutangaza nia ya kuwania urais zaendelea kunoga mjini Lindi ambapo leo June 6 kuamkia June 7, 2015 ambapo Mheshimiwa Bernard Membe atakuwa anatangaza nia ya Kugombea Urais wa Jamhuri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. STEPHEN WASIRA AJITOSA MKOA WA KILIMANJARO NA ARUSHA KUOMBA KUDHAMINIWA

wa kwanza kushoto ni Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Stephen Wasira; akiwa ndani ya ofisi za CCm mkoa wa kilimanjaro wakati alipoenda kuomba kuthaminiwa na wananchi  ili kuweza kupata nafasi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA LINDI WAMPOKEA KWA SHANGWE MHESHIMIWA BERNARD MEMBE WAKATI...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akisalimia umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi, katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati akitangaza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

THE NEW TELECOM COMPANY GETS A LICENSE TO ENTER THE TANZANIAN MARKET

Professor Robert Mabele- The Board Chairman, Mkulima African Telecom Company Limited, MTC-AMOTEL receives the certificate from Director General of TCRA, Prof. John Nkoma (centre) in Dar es Salaam on...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RSA WAKISAIDIA KITENGO CHA MAWASILIANO CHA USALAMA BARABARANI

Juu ni picha mbalimbali za mabalozi wa RSA wakikabidhi vifaa hivyo kwa maofisa wa Kitengo cha Taarifa cha Kikosi cha Usalama Barabarani cha Jeshi la Polisi.---MABALOZI wa Usalama Barabarani nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIRTEL SMARTPHONE BAZAAR ILIVYOBAMBA MLIMANI CITY JIJINI DAR

Afisa uhusiano na matukio wa Airtel Dangio Kaniki, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na Gulio la Airtel na Huawei Smartphone lililofanyika Mlimani City wikiendi hii. Gulio linalomuwezesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOTO WAWAKA NDANI YA LINDI WAKATI MHESHIMIWA BERNARD MEMBE AKITANGAZA NIA YA...

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia mkono umati wa wana CCM na wakazi wa Lindi katika Viwanja vya Ofisi ya CCM Mkoa, wakati...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAVICHANGAMKIA VIWANJA VYA BAYPORT VIKURUTI

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamWATANZANIA wameendelea kuvichangamkia viwanja vya mkopo vinavyotolewa na Taasisi ya Kifedha ya Bayport Financial Services, vilivyopo Vikuruti, wilayani Kibaha, mkoani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NYALANDU ATANGAZA NIA NA KUCHUKUA FOMU, ASEMA UWEKEZAJI KWENYE...

 Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu akizungumza na wananchi mkoani Singida baada ya kutangaza nia ya kugombea nafasi ya urais kwenye Uwanja wa Namfua, Singida. Waziri wa Maliasili na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE. ZITTO KABWE AMPONDA JANUARY MAKAMBA KWA HOTUBA ALIYOISOMA WAKATI...

Mheshimiwa Zitto Kabwe amefunguka katika ukurasa wake wa Facebook na kuweza kumponda mbunge mwenzake wa Bumbuli, Mheshimiwa January Makamba kutokana na Hotuba yake aliyoisoma jana katika ukumbi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOTUBA YA WAZIRI WA FEDHA, MHE. SAADA MKUYA SALUM (MB) AKIWASILISHA BUNGENI...

WAZIRI WA FEDHA, MHE. SAADA MKUYA SALUM (MB) AKIWASILISHA BUNGENI MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA FEDHA KWA MWAKA 2015/16Hotuba Ya Waziri Wa Fedha 2015-16 (30may2015)Copyright 2007-2014...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

FINCA MICROFINANCE BANK YAZINDULIWA RASMI JIJINI DAR ES SALAAM

 Hapa uznduzi rasmi wa Finca Microfinance Bank ukifanyika leo jijini Dar es Salaam.Ofisa Mtendaji Mkuu (C.E.O) wa Benki hiyo, Ed Greenwood (katikati), akizungumza katika hafla ya uzinduzi wa benki...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AAR CELEBRATES WORLD ENVIRONMENT DAY AT MSASANI

AAR Insurance Sales Manager Mrs Tabia Massudi elaborating to the  Media the importance of environment in human life.AAR Insurance staff heading to the cleaning area at Kimweri Msasani.AAR Insurance...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTANGAZA NIA YA UBUNGE JIMBO LA KAWE KUPITIA CCM, WAKILI ELIAS NAWERA AHIMIZA...

 Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Dar es Salaam, Wakili Elias Nawera ambaye ametangaza nia ya kuwania Ubunge wa Jimbo la Kawe kupitia CCM akizungumza na wananchi hasa vijana kwenye fainali ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI BERNARD MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA YA KUTEULIWA KUGOMBEA...

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe leo June 8, 2015 amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) makao makuu ya chama hicho mjini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJAJI WAWATAJA WASHIRIKI 18 WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015

MenejaUtetezi na Ushawishi wa Oxfam, Eluka Kibona akifungua mkutano wa kuwatangaza washindi wa waliongia katika shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015  Majaji, Kutoka Kulia ni Zephaniah Muggitu wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HEINEKEN BRINGS THE GLORY OF THE UEFA CHAMPIONS LEAGUE TO DAR ES SALAAM

Football fans enjoying the match. FC Barcelona thumped FC Juventus 3 goals to one to finally lift  the UCL Trophy in Berlin.Heineken® treats fans to an actual stadium experience at the UEFA Champions...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRA MBALI MBALI ZA ZIARA YA RAIS KIKWETE NCHINI UHOLANZI

Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Watanzania waishio Uholanzi waliojitokeza kumlaki wakati akiwasili jijini The Hague, Uholanzi, leo Jumatatu Juni 8, 2015.Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

“KILWA ROAD PUB” YASHINDA SHINDANO LA FANYAKWELI KIWANJANI

Dj wa redio E-fm akifanya vitu vyake stejeni wakati wa hafla ya kuipongeza baa ya wiki ya “Kilwa road Pub” iliyopo Kurasini jijini Dar es salaam. Baa hiyo iliibuka mshindi wa nne wa kampeni ya...

View Article
Browsing all 11654 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>