MIAKA 100 YA SKAUTI: DC MJEMA ATOA AGIZO LA UANZISHWAJI WA KLABU ZA SKAUTI...
Mkuu wa wilaya akizindua mapango wa mawasiliano kwa njia ya redio maalumu njia ya upepo na inteneti kwa skauti ‘Jamboree on the Air (JOTA),Mkuu wa wilaya ya ilala Sophia Mjema Akikagua gwaride...
View ArticleNAMBA MAALUMU YAZINDULIWA KUCHANGIA MFUKO WA UKIMWI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Jenista Mhagama (katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa namba maalumu ya kuchangia Mfuko wa Udhamini...
View ArticleSERIKALI KUVUNJA NYUMBA ZOTE ZILIZOJENGWA BILA KIBALI
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiongea na Wakurugenzi wa Halmashauri, Maafisa Ardhi, Maafisa Ujenzi na Maafisa Mipangomiji na kuwaagiza kuweka alama za x na kuvunja...
View ArticleNIHF ARUSHA YAANZA KUTOA ELIMU YA BIMA YA AFYA MTAA KWA MTAA
Afisa Metekelezo wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya Mkoani Arusha,Miraji Kisile akiwahamasisha wananchi kujiunga na mfuko huo ili kuweza kunufaika na huduma zinazotolewa ikiwemo za matibabu.Afisa...
View ArticleAFYA YAKO: MAMBO YA KUKUSHANGAZA YANAYOFANYWA NA MWILI WAKO KUKULINDA PASIPO...
Mwili wa binadamu unafanya mambo mengi ya kibaiolojia ambayo mara nyingi ni vigumu kuyaelewa. Mwili una mifumo mbalimbali ya ulinzi ambayo inatulinda na hatari zinazoweza kutudhuru. Mifumo hiyo...
View ArticleMAGAZETINI LEO OKTOBA 25, 2017; KIBANO CHAIVA WALIOBEBA NOTI ESCROW KWA...
Copyright 2007-2017 @KAJUNASON BLOG
View ArticleJUMIA E-COMMERCE TANZANIA ANNOUNCES PLANS FOR THE UNPRECEDENTED BLACK FRIDAY...
Jumia Market Tanzania announces the launch of Black Friday this November, giving Tanzanians access to more deals than ever before. Exclusive deals and discounts of up to 75% will be revealed across all...
View ArticleKARDINAL PENGO AONGOZA MAASKOFU NA WAOMBOLEZAJI WENGINE KUUAGA MWILI WA...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo akiaga mwili wa Marehemu Askofu Mkuu wa Jimbo la Tunduru na Masasi Castor Paul Msemwa mara baada ya Misa...
View ArticleRC KAGERA AONGOZA UZINDUZI WA MASHAMBA DARASA WILAYANI MISSENYI
Mkuu wa Mkoa wa Kagera,Meja Jenerali Mstaafu, Salum Kijuu (wa tatu kulia), akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa mashamba darasa ya kilimo bora cha mihogo na migomba iliyozalishwa kwa njia ya...
View ArticleWAREMBO WA VYUO VIKUU WAJIFUA KUWANIA TAJI IJUMAA WIKI HII KING SOLOMON HALL,...
Warembo wa shindano la kumsaka Miss Vyuo Vikuu 2017, wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao ya pamoja katika Ukumbi wa Maisha kujiandaa na shindano lao linalotarajia kufanyika Ijumaa ya...
View ArticleBALOZI KAIRUKI AIPONGEZA KAMPUNI YA KILUWA INDUSTRIAL GROUP OF COMPANIES KWA...
Balozi wa Tanzania nchini China Mhe. Mbelwa kairuki (tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe huo uliomtembelea ofisini kwake mapema leo. Picha na Ahmad Michuzi-China.Balozi wa Tanzania...
View ArticleNCHI ZILIZOENDELEA KITEKNOLOJIA ZISAIDIE KUBORESHA HARAKATI ZA UCHUMI WA...
Nchini zilizopiga hatua katika maendeleo ya Sayansi na Teknolojia zimetakiwa kuwa tayari kusaidia kuleta teknolojia hiyo ili kukabiliana na athari zinazoweza kujitokeza za kimazingira katika harakati...
View ArticleRAIS MHE.DKT. MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA NCHI...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi wa China hapa nchini Wang Ke, Ikulu jijini Dar es Salaam.Balozi wa China hapa nchini...
View ArticleWAZIRI WA MALIASILI NA UTALII DKT. KIGWANGALLA ATEMBELEA NGORONGORO
Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla akipokelewa na viongozi wa Ngorongoro wakati alipowasili kwenye makao makuu ya hifadhi ya Ngorongoro leo Oktoba 25, 2017.Waziri wa Maliasili na...
View ArticleDAS CHINTIKA: WALIMU TUMIENI KONDOMU ILI KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA UKIMWI
Katibu tawala wa wilaya ya Iringa Joseph Chintinka akiwa kwenye mkutano mkuu wa chama cha walimu Tanzania (CWT) wilaya ya Iringa manispaa akizungumza na baadhi ya walimu walihudhuria mkutano huo. Na...
View ArticleWANANCHI WAANZA UJENZI WA ZAHANATI KWA NGUVU ZAO
Serikali imewahakikishia wakazi wa halmashauri ya mji wa Nanyamba mkoani Mtwara kuanza kupata huduma ya upasuaji miezi mitatu ijayo kufuatia kuanza ujenzi wa kituo cha afya katika halmashauri...
View ArticleTAREHE RASMI YA KUANZA MASOMO VYUONI VIKUU YATANGAZWA
Kaimu Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) Profesa Eleuther Mwageni amesema wanafunzi ambao tayari wamekidhi vigezo na kupitishwa kujiunga na elimu ya juu wanatakiwa kuripoti chuoni ili...
View ArticleSTANDARD CHARTERED YAWAANDALIA COCKTAIL WASHIRIKI KONGAMANO LA KIMATAIFA LA...
Ofisa Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered, Sanjay Rughani akizungumza na kuwakaribisha washiriki wa Kongamano la kimatgaifa la Wanawake na Fedha (hawapo pichani) kwenye hafla maalum ya 'cocktail'...
View ArticleQNET YATOA MAFUNZO KWA WANAHABARI JIJINI DAR ES SALAAM - TANZANIA
Waadishi wa habari katika hafla fupi ya mafunzo ya bidhaa za Qnet wakimsikiliza mtoa mafuno Azal Tholaya iliyofanyika katika ofisi za QNET jijini Dar es Salaam.Waadishi wa habari katika hafla fupi ya...
View ArticleASKOFU NDIMBO WA MBINGA ANENA KUHUSU KIFO CHA HAYATI ASKOFU CASTOR WA MASASI,...
Askofu wa jimbo la mbinga ASKOFU JOHN NDIMBO leo ameongoza mapokezi ya kuupokea mwili wa hayati askofu CASTOR MSEMWA aliyefarika dunia tarehe 19.10.2017 saa saba mchana ana amzishi yake yatafanika hapo...
View Article